Je wajua?

Watoto ulimwenguni kote wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili, unyonyaji na unyanyasaji.

Kati ya wanafunzi 3 wenye umri wa miaka 13-15, zaidi ya mwanafunzi mmoja huonewa ulimwenguni.

Ukatili wa aina yoyote dhidi ya watoto haukubaliki na unazuilika.

Wasichana takriban milioni 15 wenye umri wa miaka 15-19 wamelazimishwa kufanya ngono katika maisha yao.

           
TambuaGame

Cheza sasa TambuaGame katika simu janja ili ujifahamu zaidi kuhusu ukatili kwa watoto. Pakua TambuaGame sasa!

           
Toa Taarifa kupitia nambari ya USSD

Toa taarifa sasa kuhusu ukatili kwa watoto kupitia simu yako ya kiganjani kwa njia ya nambari ya USSD. Piga *149*46*3 sasa!

Kabla ya kupiga USSD hii ongezea alama ya reli (#) mwishoni.

           
Jifunze zaidi kwa TambuaBot

Habari! Unaweza sasa kuuliza chochote kuhusu ukatili kwa watoto kwa kubofya kitufe cha hapo chini.